Deuteronomy 27:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ufanye na sadaka za amani, ukale huko; nawe furahi mbele za Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za BWANA Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ufanye na sadaka za amani, ukale huko; nawe furahi mbele za BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtamtolea sadaka za amani, na kula papo hapo na kufurahi mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchinje nazo ng'ombe za tambiko za shukrani, upate kula huko na kumfurahia Bwana Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ufanye na sadaka za amani, ukale huko; nawe furahi mbele za BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutamutolea sadaka za amani, na kula hapohapo na kufurahi mbele ya Yawe, Mungu wenu.