Deuteronomy 28:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukimtii Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa ukamilifu na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa makini, Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukimtii BWANA Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, BWANA Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukimtii bwana Mwenyezi Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, bwana Mwenyezi Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoisikia sauti ya Bwana Mungu wako, uyaangalie na kuyafanya maagizo yake yote, mimi ninayokuagiza leo, Bwana Mungu wako atakufanya kuwa mkuu kuliko mataifa yote ya huku nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama mukiitii sauti ya Yawe, Mungu wenu, na kushika kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote katika dunia.