Deuteronomy 28:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yote duniani yakiona kwamba nyinyi mnaitwa kwa jina la Mwenyezi-Mungu yatawaogopa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la Mwenyezi Mungu, nao watakuogopa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la Bwana, nao watakuwa na hofu kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yote duniani yakiona kwamba nyinyi mnaitwa kwa jina la Mwenyezi-Mungu yatawaogopa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la BWANA, nao watakuogopa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la bwana, nao watakuogopa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la BWANA, nao watakuwa na hofu kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yote duniani yakiona kwamba nyinyi mnaitwa kwa jina la Mwenyezi-Mungu yatawaogopa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, makabila yote ya huku nchini yatakapoona, ya kuwa umeitwa kwa Jina la Bwana, kisha watakuogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la BWANA, nao watakuwa na hofu kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yote katika dunia yakiona kwamba ninyi munaitwa kwa jina la Yawe yatawaogopa.