Deuteronomy 28:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usihalifu amri zangu zozote ninazokupa leo, kwa kwenda kuume au kushoto, kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usihalifu amri zangu zo zote ninazokupa leo, kwa kwenda kuume au kushoto, kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usihalifu amri zangu zozote ninazokupa leo, kwa kwenda kuume au kushoto, kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lolote, kwenda mkono wa kulia wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya maneno yote, mimi ninayokuagiza leo, usiyaache na kujiendea wala kuumeni wala kushotoni kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
bila kugeuka kuume au kushoto kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.