Deuteronomy 28:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vikapu vyenu vya nafaka vitalaaniwa na vyombo vyenu vya kukandia mkate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vikapu vyenu vya nafaka vitalaaniwa na vyombo vyenu vya kukandia mkate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vikapu vyenu vya nafaka vitalaaniwa na vyombo vyenu vya kukandia mkate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Litakuwa limeapizwa kapu lako nalo bakuli lako la kutengenezea mikate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vikapu vyenu vya ngano vitalaaniwa na vyombo vyenu vya kupondea mukate.