Deuteronomy 28:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wenu watalaaniwa na mazao yenu ya nchi; mifugo yenu italaaniwa isiongezeke.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ng’ombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wenu watalaaniwa na mazao yenu ya nchi; mifugo yenu italaaniwa isiongezeke.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ng'ombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ng’ombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, kuongezeka kwa ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wenu watalaaniwa na mazao yenu ya nchi; mifugo yenu italaaniwa isiongezeke.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatakuwa yameapizwa mazao ya tumbo lako na mazao ya nchi yako na ndama wako na wana kondoo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng’ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wenu watalaaniwa na mazao yenu ya inchi; mifugo yenu italaaniwa isiongezeke.