Deuteronomy 28:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mkitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtapewa baraka zifuatazo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Mwenyezi Mungu, Mungu wako:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mkitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtapewa baraka zifuatazo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii BWANA Mungu wako:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii bwana Mwenyezi Mungu wako:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mkitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtapewa baraka zifuatazo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, zitakapokujia hizi mbaraka zote na kukupata, utakapoisikia sauti ya Bwana Mungu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mukitii sauti ya Yawe, Mungu wenu, mutapewa baraka hizi: