Deuteronomy 28:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawaleteeni maradhi mabaya mpaka wote muangamie kabisa katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu atakupiga kwa magonjwa hadi akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawaleteeni maradhi mabaya mpaka wote muangamie kabisa katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka katika nchi unayoiingia kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawaleteeni maradhi mabaya mpaka wote muangamie kabisa katika nchi ambayo mnaenda kuimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atakugandamanisha na magonjwa ya moyo, mpaka amalize kukuondoa katika hiyo nchi, utakayoiingia kuichukua, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawaletea ugonjwa mukali mpaka ninyi wote muangamie kabisa katika inchi ambayo munaenda kurizi.