Deuteronomy 28:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu zitakauka kama shaba nyeusi bila mvua, na nchi itakuwa kama chuma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu zitakauka kama shaba nyeusi bila mvua, na nchi itakuwa kama chuma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anga juu yako itakuwa shaba, na ardhi chini yako itakuwa chuma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu zitakauka kama shaba nyeusi bila mvua, na nchi itakuwa kama chuma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mbingu iliyoko juu yako itakuwa kama shaba, nayo nchi iliyoko chini yako itakuwa kama chuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu zitakauka kama shaba nyeusi bila mvua, na inchi itakuwa kama chuma.