Deuteronomy 28:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtachumbia wasichana lakini watu wengine watalala nao. Mkijenga nyumba watu wengine watakaa ndani yake. Mkipanda mizabibu watu wengine watavuna.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtachumbia wasichana lakini watu wengine watalala nao. Mkijenga nyumba watu wengine watakaa ndani yake. Mkipanda mizabibu watu wengine watavuna.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtachumbia wasichana lakini watu wengine watalala nao. Mkijenga nyumba watu wengine watakaa ndani yake. Mkipanda mizabibu watu wengine watavuna.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoposa mke, mwingine atalala naye; utakapojenga nyumba hutakaa humo; utakapopanda mizabibu hutayala matunda yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutachumbia wabinti lakini watu wengine watalala nao. Mukijenga nyumba watu wengine watakaa ndani yake. Mukipanda mizabibu watu wengine watavuna.