Deuteronomy 28:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Taifa msilolijua litachukua mazao yote ya nchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mtadhulumiwa na kuteswa daima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Taifa msilolijua litachukua mazao yote ya nchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mtadhulumiwa na kuteswa daima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na cho chote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Taifa msilolijua litachukua mazao yote ya nchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mtadhulumiwa na kuteswa daima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mazao ya nchi yako nayo yote, uliyoyasumbukia, yataliwa na watu wageni, usiowajua, nawe utakaa tu kwa kukorofishwa na kupondwa siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Taifa musilolijua litatwaa mazao yote ya inchi yenu na matunda ya jasho lenu, nanyi mutapondwa na kuteswa siku zote,