Deuteronomy 28:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata mtapata wazimu kwa mambo mtakayoona kwa macho yenu wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vitu utakavyoviona kwa macho yako vitakufanya wazimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata mtapata wazimu kwa mambo mtakayoona kwa macho yenu wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vitu utakavyoviona kwa macho yako vitakufanya wazimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vitu utakavyoviona kwa macho yako vitakufanya wazimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo kwa macho yako, utakayoyaona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata mtapata wazimu kwa mambo mtakayoona kwa macho yenu wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe utakuwa mwenye wazimu kwa kuyaona hayo kwa roho yako, utakayoyaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata mutapata wazimu kwa mambo mutakayoona kwa macho yenu wenyewe.