Deuteronomy 28:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyi mtakuwa kinyaa, dharau na mshangao miongoni mwa watu wote wa nchi ambako Mwenyezi-Mungu atawapeleka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko Mwenyezi Mungu atakakokupeleka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyi mtakuwa kinyaa, dharau na mshangao miongoni mwa watu wote wa nchi ambako Mwenyezi-Mungu atawapeleka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko BWANA atakakokupeleka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa kitu cha kuchukiza, tena kitu cha kudharauliwa na kudhihakiwa kwa mataifa yote huko bwana atakakokupeleka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyi mtakuwa kinyaa, dharau na mshangao miongoni mwa watu wote wa nchi ambako Mwenyezi-Mungu atawapeleka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapozomewa kwa mafumbo na kwa masimango katika makabila yote, ambayo Bwana atakakupeleka kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi mutakuwa kinyaa, mazarau na mushangao kati ya watu wote wa inchi ambako Yawe atawapeleka.