Deuteronomy 28:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtapanda mbegu nyingi lakini mtavuna kidogo tu kwa kuwa nzige watakula mazao yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtapanda mbegu nyingi lakini mtavuna kidogo tu kwa kuwa nzige watakula mazao yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtapanda mbegu nyingi lakini mtavuna kidogo tu kwa kuwa nzige watakula mazao yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbegu nyingi utatoa nyumbani kupanda shambani, lakini utavuna machache tu, kwani nzige watazila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutapanda mbegu nyingi lakini mutavuna kidogo tu kwa sababu nzige watakula mazao yenu.