Deuteronomy 28:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utapanda mizabibu na kuitengeneza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamtavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utapanda mizabibu na kuilimia vema, lakini hutakunywa mvinyo, wala hutaichuma, kwani vimatu wataila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutapanda mizabibu na kuitunza, lakini hamutavuna mizabibu hiyo wala kunywa divai yake, maana wadudu wataikula.