Deuteronomy 28:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na mifugo wako wachanga, yaani ndama wa makundi yako ya ng’ombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ng'ombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ng’ombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa kufugwa, kuongezeka kwa ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatakuwa yamebarikiwa mazao ya tumbo lako na mazao ya nchi yako na mazao ya nyama wako wa kufuga na ndama wako na wana kondoo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng’ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutabarikiwa mupate wazao wengi, mavuno mengi, ngombe na kondoo wengi.