Deuteronomy 28:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakuwa na mizeituni mahali pote nchini mwenu, lakini hamtakuwa na mafuta ya kujipaka; kwa sababu zeituni hizo zitapukutika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakuwa na michekele katika mipaka yako yote, lakini hutajipaka mafuta, kwani michekele yako itapukutisha mapooza tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakuwa na mizeituni pahali pote katika inchi yenu, lakini hamutakuwa na mafuta ya kujipakaa, kwa sababu zeituni hizo zitaangukaanguka.