Deuteronomy 28:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtazaa watoto wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wenu, watachukuliwa uhamishoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa na wana wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtazaa watoto wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wenu, watachukuliwa uhamishoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtazaa watoto wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wenu, watachukuliwa uhamishoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utazaa wana wa kiume na wa kike, lakini hawatakuwa wako, kwa kuwa watatekwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutazaa watoto wanaume na wanawake, lakini hawatakuwa wenu, watapelekwa katika uhamisho.