Deuteronomy 28:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matunda yenu yote na mazao yenu mashambani vitamilikiwa na nzige.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matunda yenu yote na mazao yenu mashambani vitamilikiwa na nzige.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matunda yenu yote na mazao yenu mashambani vitamilikiwa na nzige.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miti yako yote nayo mazao ya nchi yako yatakuwa yao mabumundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matunda yenu yote na mazao yenu katika mashamba vitashambuliwa na nzige.