Deuteronomy 28:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wageni waishio katika nchi yenu watazidi kupata nguvu huku nyinyi mkizidi kufifia zaidi na zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mgeni anayeishi miongoni mwako atazidi kuinuka juu yako, lakini wewe utaendelea kushuka chini zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wageni waishio katika nchi yenu watazidi kupata nguvu huku nyinyi mkizidi kufifia zaidi na zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mgeni anayeishi miongoni mwako atainuka juu zaidi na zaidi kuliko wewe, lakini wewe utashuka chini zaidi na zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mgeni anayeishi miongoni mwako atainuka juu zaidi na zaidi kuliko wewe, lakini wewe utashuka chini zaidi na zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wageni waishio katika nchi yenu watazidi kupata nguvu huku nyinyi mkizidi kufifia zaidi na zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mgeni atakayekuwa katikati yako atapaa juu zaidi, hata awe mkuu wako, lakini wewe utashuka kuwa chini zaidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Wageni wanaoishi katika inchi yenu watazidi kupata nguvu wakati ninyi mutazidi kufifia zaidi na zaidi.