Deuteronomy 28:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hizo zitakuwa ushahidi wa hukumu ya Mwenyezi-Mungu kwenu na wazawa wenu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hizo zitakuwa ushahidi wa hukumu ya Mwenyezi-Mungu kwenu na wazawa wenu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hizo zitakuwa ushahidi wa hukumu ya Mwenyezi-Mungu kwenu na wazawa wenu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo haya maapizo yatakuwa kielekezo na kioja kwako wewe nako kwao walio wa uzao wako kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hizo zitakuwa ushuhuda wa hukumu ya Yawe kwenu na wazao wenu milele.