Deuteronomy 28:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hukumtumikia Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa hukumtumikia Bwana, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hukumtumikia BWANA Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hukumtumikia bwana Mwenyezi Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa hukumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwabariki katika kila njia, lakini nyinyi hamkumtumikia kwa moyo wa furaha na mkunjufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa hukumtumikia Bwana Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wa kumshukuru kwa hivyo, alivyokufurikishia vyote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa hukumtumikia BWANA, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yawe, Mungu wenu aliwabariki katika kila njia, lakini ninyi hamukumutumikia kwa moyo wa furaha na shangwe.