Deuteronomy 28:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Taifa hilo lenye watu wa nyuso katili halitajali wazee wala kuwahurumia vijana;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
taifa lenye uso mkali lisilojali wazee wala kuwahurumia vijana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Taifa hilo lenye watu wa nyuso katili halitajali wazee wala kuwahurumia vijana;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
taifa lenye uso mkali lisilojali wazee wala kuwahurumia vijana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
taifa lenye uso mkali lisilojali wazee wala kuwahurumia vijana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Taifa hilo lenye watu wa nyuso katili halitajali wazee wala kuwahurumia vijana;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio watu wenye ukali usoni, hawautazami uso wa mzee, wala hawamhurumii kijana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa taifa hilo watakuwa na nyuso kali. Hawatajali wazee wala kuwahurumia vijana.