Deuteronomy 28:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
litakula ng'ombe wenu na mazao yenu, mpaka mmeangamizwa. Halitawaachieni nafaka, divai, mafuta, ng'ombe au kondoo mpaka liwaangamize.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakula wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako hadi umeangamia. Hawatakuachia nafaka, divai mpya au mafuta, wala ndama wowote wa kundi lako au wana-kondoo wa kundi lako hadi umekuwa magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atakula uzao wa ng'ombe wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala maongeo ya ng'ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
litakula ng'ombe wenu na mazao yenu, mpaka mmeangamizwa. Halitawaachieni nafaka, divai, mafuta, ng'ombe au kondoo mpaka liwaangamize.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakula wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako mpaka umeangamia. Hawatakuachia nafaka, divai mpya au mafuta, wala ndama wo wote wa kundi lako au wana-kondoo wa kundi lako mpaka umekuwa magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakula wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako mpaka umeangamia. Hawatakuachia nafaka, divai mpya au mafuta, wala ndama wowote wa kundi lako au wana-kondoo wa kundi lako mpaka umekuwa magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atakula uzao wa ng'ombe wako wa kufugwa, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala kuongezeka kwa ng'ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
litakula ng'ombe wenu na mazao yenu, mpaka mmeangamizwa. Halitawaachieni nafaka, divai, mafuta, ng'ombe au kondoo mpaka liwaangamize.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao ndio watakaoyala mazao ya nyama wako wa kufuga nayo mazao ya mashamba yako, hata uangamizwe; maana hawatakusazia wala ngano wala mvinyo mbichi wala mafuta wala ndama wako wala wana kondoo wako, hata wakuangamize kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atakula uzao wa ng’ombe wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala maongeo ya ng’ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakula ngombe wenu na mazao yenu, mpaka muangamie. Hawatawaachia ngano, divai, mafuta, ngombe au kondoo mpaka wawaangamize.