Deuteronomy 28:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata mtu mpole kabisa na aliyelelewa vizuri sana atamnyima chakula ndugu yake, mkewe ampendaye na mtoto wake atakayesalia;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata yule mtu muungwana sana na makini miongoni mwako hatakuwa na huruma kwa ndugu yake mwenyewe au kwa mke ampendaye au watoto wake waliosalia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata mtu mpole kabisa na aliyelelewa vizuri sana atamnyima chakula ndugu yake, mkewe ampendaye na mtoto wake atakayesalia;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata yule mtu mwungwana sana na makini miongoni mwako hatakuwa na huruma kwa ndugu yake mwenyewe au kwa mke ampendaye au watoto wake waliosalia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata yule mtu muungwana sana na makini miongoni mwako hatakuwa na huruma kwa ndugu yake mwenyewe au kwa mke ampendaye au watoto wake waliosalia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata mtu mpole kabisa na aliyelelewa vizuri sana atamnyima chakula ndugu yake, mkewe ampendaye na mtoto wake atakayesalia;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nayo macho yake mtu mwanana wa kwenu aliyejizoeza kula vya urembo tu yatakapokuwa mabaya, atakapowaona ndugu zake na mkewe wa kifuani pake na wanawe waliosalia, aliowasaza bado;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata mutu mupole kabisa na aliyelelewa vizuri sana hatafurahi kuona ndugu yake, muke wake aliyemupenda na mutoto wake atakayebakia,