Deuteronomy 28:55 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wala hatamgawia hata mmoja wao nyama ya watoto wake atakaowala. Hamtabakiwa na chochote wakati huo wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui katika miji yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye hatampa hata mmoja wao nyama ya watoto wake ambao anawala. Kwa kuwa hakuna kitu kingine kilichosalia kwake katika mazingirwa makali ambayo adui yako watakuletea kwa miji yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wala hatamgawia hata mmoja wao nyama ya watoto wake atakaowala. Hamtabakiwa na chochote wakati huo wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui katika miji yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye hatampa hata mmoja wao nyama ya watoto wake ambao anawala. Kwa kuwa hakuna kitu kingine kilichosalia kwake katika mazingiwa makali ambayo adui yako watakuletea kwa miji yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye hatampa hata mmoja wao nyama ya watoto wake ambao anawala. Kwa kuwa hakuna kitu kingine kilichosalia kwake katika mazingirwa makali ambayo adui yako watakuletea kwa miji yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika kuzingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wala hatamgawia hata mmoja wao nyama ya watoto wake atakaowala. Hamtabakiwa na chochote wakati huo wa kuzingirwa na kutaabishwa na maadui katika miji yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani ataona choyo cha kuwagawia mmoja wao tu nyama za wanawe, anazozila, kwani atakuwa hanacho cho chote, alichojisazia kwa kusongeka na kwa kuhangaika, adui zako watakapokuhangaisha malangoni pako pote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wala hatamugawanyia hata mumoja wao nyama ya watoto wake atakaowakula. Hamutabakiliwa na chochote wakati huo wa kuzungukwa na kutaabishwa na waadui katika miji yenu yote.