Deuteronomy 28:56 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata mwanamke yule ambaye ni mpole sana na aliyelelewa vizuri na mwororo hata hajawahi kukanyaga udongo kwa kisigino chake hataweza kufanya vingine. Wakati huo wa kuzingirwa kutakuwa na njaa hata
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanamke ambaye ni muungwana sana na makini miongoni mwako, yaani ambaye ni makini sana na muungwana kiasi kwamba asingethubutu kugusa ardhi kwa wayo wa mguu wake, yeye atakuwa mchoyo kwa mume ampendaye na mwanawe mwenyewe au binti yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatirisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata mwanamke yule ambaye ni mpole sana na aliyelelewa vizuri na mwororo hata hajawahi kukanyaga udongo kwa kisigino chake hataweza kufanya vingine. Wakati huo wa kuzingirwa kutakuwa na njaa hata
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanamke ambaye ni muungwana sana na makini miongoni mwako, yaani ambaye ni makini sana na muungwana kiasi kwamba asingethubutu kugusa ardhi kwa wayo wa mguu wake, yeye atakuwa mchoyo kwa mume ampendaye na mwanawe mwenyewe au binti yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanamke ambaye ni muungwana sana na makini miongoni mwako, yaani ambaye ni makini sana na muungwana kiasi kwamba asingethubutu kugusa ardhi kwa wayo wa mguu wake, yeye atakuwa mchoyo kwa mume ampendaye na mwanawe mwenyewe au binti yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatarisha kuweka wayo wa mguu wake chini kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata mwanamke yule ambaye ni mpole sana na aliyelelewa vizuri na mwororo hata hajawahi kukanyaga udongo kwa kisigino chake hataweza kufanya vingine. Wakati huo wa kuzingirwa kutakuwa na njaa hata
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwanamke mwanana wa kwenu aliyejizoeza kula vya urembo tu, asiyejaribu kale kuikanyaga nchi kwa wayo wa mguu wake, kwani alijizoeza kutumia vitu vya urembo tu kwa kuwa mwanana, basi, ndipo, macho yake nayo yatakapokuwa mabaya, atakapomwona mumewe wa kifuani pake na mwanawe wa kiume naye wa kike;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatirisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata mwanamuke yule ambaye ni mupole sana na aliyelelewa vizuri na mwenye kupendeza ambaye hajasubutu kukanyaga udongo kwa kikanyagio chake, hatafurahi kuona mume wake aliyemupenda na watoto wake. Wakati huo wa kuzungukwa kutakuwa njaa hata