Deuteronomy 28:57 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atamla mtoto wake mchanga na kile kinachotoka baada ya kuzaliwa mtoto bila hata mumewe mpenzi au mmoja wa watoto wake kutambua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kondoo wa nyuma kutoka tumbo lake na watoto anaowazaa. Kwa kuwa anakusudia kuwala kwa siri wakati wa kuzingirwa na katika taabu zile adui yako atazileta juu yako na miji yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atamla mtoto wake mchanga na kile kinachotoka baada ya kuzaliwa mtoto bila hata mumewe mpenzi au mmoja wa watoto wake kutambua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kondoo la nyuma kutoka kwenye tumbo lake na watoto anaowazaa. Kwa kuwa anakusudia kuwala kwa siri wakati wa kuzingirwa na katika taabu zile ambazo adui yako atazileta juu yako na miji yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kondoo wa nyuma kutoka kwenye tumbo lake na watoto anaowazaa. Kwa kuwa anakusudia kuwala kwa siri wakati wa kuzingirwa na katika taabu zile ambazo adui yako atazileta juu yako na miji yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika kuzingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atamla mtoto wake mchanga na kile kinachotoka baada ya kuzaliwa mtoto bila hata mumewe mpenzi au mmoja wa watoto wake kutambua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
maana atataka kuwanyima hata kondo ya nyuma iliyotoka katikati ya miguu yake na nyama za wanawe, aliowazaa, kwani anataka kuzila fichoni kwa kukosa chakula chote; haya atayafanya kwa kusongeka na kwa kuhangaika, adui zako watakapokuhangaisha malangoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atakula mutoto wake muchanga kwa siri nyuma ya kumuzaa pamoja na nyama ya kizazi kwa sababu ya ukosefu wa chakula.