Deuteronomy 28:58 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama msipokuwa waangalifu kutekeleza maneno yote ya sheria hii iliyoandikwa katika kitabu hiki na msipoliheshimu na kulitukuza jina tukufu la kuogofya la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama hutazingatia maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la Mwenyezi Mungu, Mungu wako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, Bwana, MUNGU WAKO;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama msipokuwa waangalifu kutekeleza maneno yote ya sheria hii iliyoandikwa katika kitabu hiki na msipoliheshimu na kulitukuza jina tukufu la kuogofya la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama hutafuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la BWANA Mungu wako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama hutafuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii, ambayo yameandikwa katika kitabu hiki na kama hutalicha hili jina la fahari na la kutisha, yaani la bwana Mwenyezi Mungu wako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, BWANA, MUNGU WAKO;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama msipokuwa waangalifu kutekeleza maneno yote ya sheria hii iliyoandikwa katika kitabu hiki na msipoliheshimu na kulitukuza jina tukufu la kuogofya la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usipoyaangalia na kuyafanya maneno yote ya Maonyo haya yaliyoandikwa humu kitabuni, upate kuliogopa hilo Jina tukufu litishalo la Bwana Mungu wako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, BWANA, MUNGU WAKO;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama musipokuwa waangalifu kwa kushika maneno yote ya sheria hii iliyoandikwa katika kitabu hiki na musipoheshimu na kutukuza jina tukufu la kuogopesha la Yawe, Mungu wenu