Deuteronomy 28:59 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, Mwenyezi-Mungu atawaleteeni nyinyi na wazawa wenu mateso yasiyo ya kawaida, mateso makali yasiyoponyeka na ya kudumu, na magonjwa makali ya kudumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ataleta mapigo ya kutisha juu yako na kwa wazao wako, maafa makali na ya kudumu, magonjwa mazito na ya kudumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo atakapofanya Bwana mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, Mwenyezi-Mungu atawaleteeni nyinyi na wazawa wenu mateso yasiyo ya kawaida, mateso makali yasiyoponyeka na ya kudumu, na magonjwa makali ya kudumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ataleta mapigo ya kutisha juu yako na kwa wazao wako, maafa makali na ya kudumu, magonjwa mazito na ya kudumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ataleta mapigo ya kutisha juu yako na kwa wazao wako, maafa makali na ya kudumu, magonjwa mazito na ya kudumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo atakapofanya BWANA mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, Mwenyezi-Mungu atawaleteeni nyinyi na wazawa wenu mateso yasiyo ya kawaida, mateso makali yasiyoponyeka na ya kudumu, na magonjwa makali ya kudumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana atakupiga wewe nao wa uzao wako hayo mapigo ya kustaajabisha, nayo yatakuwa mapigo makubwa yatakayokaa sana, tena magonjwa mabaya yatakayokaa sana nayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo atakapofanya BWANA mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, Yawe atawaletea ninyi na wazao wenu mateso yasiyokuwa ya kawaida, mateso makali yasiyoponyeshwa na ya kudumu, na magonjwa makali ya kudumu.