Deuteronomy 28:60 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawaleteeni tena yale magonjwa mliyoyaogopa nchini Misri, nayo yatawaandama daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuletea juu yako magonjwa yote ya Misri yale uliyoyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawaleteeni tena yale magonjwa mliyoyaogopa nchini Misri, nayo yatawaandama daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuletea juu yako magonjwa yote ya Misri yale uliyoyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuletea juu yako magonjwa yote ya Misri yale uliyoyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawaleteeni tena yale magonjwa mliyoyaogopa nchini Misri, nayo yatawaandama daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakurudishia maradhi yote ya Misri, uliyoyastuka, nayo yatagandamana na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawaletea tena yale magonjwa muliyoyaogopa katika inchi ya Misri, nayo yatawaandama siku zote.