Deuteronomy 28:66 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Maisha yenu yatakuwa mashakani, mchana na usiku mtakuwa na hofu na hamtakuwa na usalama wa maisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utaishi katika mahangaiko siku zote, ukiwa umejaa hofu usiku na mchana, wala hutakuwa kamwe na uhakika wa maisha yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Maisha yenu yatakuwa mashakani, mchana na usiku mtakuwa na hofu na hamtakuwa na usalama wa maisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utaishi katika mahangaiko siku zote, ukiwa umejaa hofu usiku na mchana, wala hutakuwa kamwe na uhakika wa maisha yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utaishi katika mahangaiko siku zote, ukiwa umejaa hofu usiku na mchana, wala hutakuwa kamwe na uhakika wa maisha yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutayaamini kamwe maisha yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Maisha yenu yatakuwa mashakani, mchana na usiku mtakuwa na hofu na hamtakuwa na usalama wa maisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani uzima wako utakuwa, kama umening'inishwa kwa uzi mbele yako, kwa hiyo utakaa kiwogawoga usiku na mchana, kwa kuwa hutayategemea, ya kama utakaa uzimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Maisha yenu yatakuwa katika mashaka, muchana na usiku mutakuwa na hofu na hamutakuwa na usalama wa maisha.