Deuteronomy 29:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Leo, mmesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi nyote viongozi wa makabila, wazee wenu, maofisa wenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi nyote leo mnasimama mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Leo mmesimama nyote mbele za Bwana, Mungu wenu; wakuu wenu, na kabila zenu, na wazee wenu, na maakida wenu, waume wote wa Israeli,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Leo, mmesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi nyote viongozi wa makabila, wazee wenu, maofisa wenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi nyote leo mnasimama mbele za BWANA Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi nyote leo mnasimama mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Leo mmesimama nyote mbele za BWANA, Mungu wenu; wakuu wenu, na makabila yenu, na wazee wenu, na maofisa wenu, wanaume wote wa Israeli,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Leo, mmesimama mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nyinyi nyote viongozi wa makabila, wazee wenu, maofisa wenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Leo mnasimama nyote mbele ya Bwana Mungu wenu, walio vichwa vyenu vya mashina yenu, wazee wenu na wakuu wenu, nanyi nyote mlio waume wa Kiisiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Leo mmesimama nyote mbele za BWANA, Mungu wenu; wakuu wenu, na kabila zenu, na wazee wenu, na maakida wenu, waume wote wa Israeli,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi kati yenu ambao wanakata kuni na kuwatekea maji.