Deuteronomy 29:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na watoto wenu, wake zenu na pia wageni wanaoishi katika kambi zenu wanaowapasulia kuni na kuwachotea maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
vijana vyenu, na wake wenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na watoto wenu, wake zenu na pia wageni waishio katika kambi zenu wanaowapasulia kuni na kuwachotea maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na watoto wenu, wake zenu na pia wageni waishio katika kambi zenu wanaowapasulia kuni na kuwachotea maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
vijana wenu, na wake zenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watoto wenu na wake zenu, wageni wanaoishi miongoni mwenu ambao hukata kuni na kuwatekea maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wana wenu na wake zenu na mgeni wako aliye makambini mwako naye mchanja kuni zako naye mchota maji yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
vijana vyenu, na wake wenu, na mgeni wako aliye kati ya kituo chako, tokea mchanjaji wa kuni zako hata mtekaji wa maji yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muko hapa leo kwa kufanya agano pamoja na Yawe, Mungu wenu na kulihakikisha kwa kiapo.