Deuteronomy 29:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnasimama hapa ili kufanya agano na Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, agano ambalo Mungu analifanya nanyi siku hii ya leo na kulitia muhuri kwa kiapo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili uingie katika agano la Bwana, Mungu wako, na kiapo chake, afanyacho nawe Bwana, Mungu wako, hivi leo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnasimama hapa ili kufanya Agano na BWANA Mungu wenu, Agano ambalo Mungu analifanya nanyi siku hii ya leo na kulitia muhuri kwa kiapo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnasimama hapa ili kufanya Agano na bwana Mwenyezi Mungu wenu, Agano ambalo Mungu analifanya nanyi siku hii ya leo na kulitia muhuri kwa kiapo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili uingie katika agano la BWANA, Mungu wako, na kiapo chake, afanyacho nawe BWANA, Mungu wako, hivi leo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mko hapa leo ili kufanya agano hili ambalo Bwana Mungu wenu anafanya leo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huku ni kwamba, upate kuandamana nalo Agano la Bwana Mungu wako, analolifanya leo na wewe, nacho kiapo chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili uingie katika agano la BWANA, Mungu wako, na kiapo chake, afanyacho nawe BWANA, Mungu wako, hivi leo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo leo mutakuwa watu wake naye atakuwa Mungu wenu, kama vile alivyowaapia ninyi na babu zenu Abrahamu, Isaka na Yakobo.