Deuteronomy 29:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwamba atawathibitisha leo kuwa watu wake naye atakuwa Mungu wenu, kama alivyowaapia nyinyi na babu zenu: Abrahamu, Isaka na Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwathibitisha ninyi siku hii ya leo kama taifa lake, ili aweze kuwa Mungu wenu kama alivyowaahidi na kama alivyowaapia baba zenu Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
apate kukuweka leo uwe taifa kwake naye apate kuwa Mungu kwako, kama alivyokuambia, na kama alivyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba atawathibitisha leo kuwa watu wake naye atakuwa Mungu wenu, kama alivyowaapia nyinyi na babu zenu: Abrahamu, Isaka na Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwathibitisha ninyi siku hii ya leo kama taifa lake, ili aweze kuwa Mungu wenu kama alivyowaahidi na kama alivyowaapia baba zenu Abrahamu, Isaki na Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwathibitisha ninyi siku hii ya leo kama taifa lake, ili aweze kuwa Mungu wenu kama alivyowaahidi na kama alivyowaapia baba zenu Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
apate kukuweka leo uwe taifa kwake naye apate kuwa Mungu kwako, kama alivyokuambia, na kama alivyowaapia baba zako, Abrahamu, na Isaka, na Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwamba atawathibitisha leo kuwa watu wake naye atakuwa Mungu wenu, kama alivyowaapia nyinyi na babu zenu: Abrahamu, Isaka na Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye anakuweka leo kuwa ukoo wake, naye atakuwa Mungu wako, kama alivyokuambia, kama alivyowaapia nao baba zako Aburahamu na Isaka na Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
apate kukuweka leo uwe taifa kwake naye apate kuwa Mungu kwako, kama alivyokuambia, na kama alivyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala sifanyi agano hili leo kwa ajili yenu tu na kutamka laana zake; sifanyi kwa ajili ya wale tu wanaokuwa pamoja nasi leo mbele ya Yawe, Mungu wetu