Deuteronomy 29:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala sifanyi agano hili leo kwa niaba yenu tu na kutamka laana zake; sifanyi kwa niaba ya wale tu walio pamoja nasi leo mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninafanya agano hili pamoja na kiapo chake, sio na ninyi tu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala sifanyi na ninyi peke yenu agano hili na kiapo hiki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala sifanyi agano hili leo kwa niaba yenu tu na kutamka laana zake; sifanyi kwa niaba ya wale tu walio pamoja nasi leo mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninafanya Agano hili pamoja na kiapo chake, sio na ninyi tu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninafanya Agano hili pamoja na kiapo chake, sio na ninyi tu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala sifanyi na ninyi peke yenu agano hili na kiapo hiki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala sifanyi agano hili leo kwa niaba yenu tu na kutamka laana zake; sifanyi kwa niaba ya wale tu walio pamoja nasi leo mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini si ninyi peke yenu, ninaofanya nao Agano hili na kuwaapia kiapo hiki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala sifanyi na ninyi peke yenu agano hili na kiapo hiki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini vilevile kwa ajili ya wale ambao hawapo pamoja nasi leo.