Deuteronomy 29:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali pia kwa niaba ya wale ambao hawapo pamoja nasi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mnaosimama hapa na sisi leo mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila na yeye aliyesimama hapa nasi hivi leo mbele ya Bwana, Mungu wetu, na yeye naye asiyekuwapo pamoja nasi leo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali pia kwa niaba ya wale ambao hawapo pamoja nasi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mnaosimama hapa na sisi leo mbele za BWANA Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mnaosimama hapa na sisi leo mbele za bwana Mwenyezi Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila na yeye aliyesimama hapa nasi hivi leo mbele za BWANA, Mungu wetu, na yeye naye asiyekuwapo pamoja nasi leo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali pia kwa niaba ya wale ambao hawapo pamoja nasi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila ni wao wanaosimama leo hapa pamoja na sisi mbele ya Bwana Mungu wetu, tena ni wao nao wasiokuwapo leo hapa pamoja na sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila na yeye aliyesimama hapa nasi hivi leo mbele ya BWANA, Mungu wetu, na yeye naye asiyekuwapo pamoja nasi leo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Munajua jinsi tulivyoishi katika inchi ya Misri na jinsi tulivyosafiri katika inchi za mataifa mengine.