Deuteronomy 29:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyosafiri katika nchi za mataifa mengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi wenyewe mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyopita katikati ya nchi hadi tukafika hapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kwani mwajua mlivyoketi nchi ya Misri, na tulivyo kuja katikati ya mataifa hayo mliyopita katikati yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyosafiri katika nchi za mataifa mengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi wenyewe mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyopita katikati ya nchi mpaka tukafika hapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi wenyewe mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyopita katikati ya nchi mpaka tukafika hapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kwani mwajua mlivyoketi katika nchi ya Misri, na tulivyo kuja katikati ya mataifa hayo mliyopita katikati yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mnajua jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyosafiri katika nchi za mataifa mengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninyi mnajua wenyewe, jinsi tulivyokaa katika nchi ya Misri, tena tulivyopita katikati ya wamizimu, ambao mlipita kwao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kwani mwajua mlivyoketi nchi ya Misri, na tulivyo kuja katikati ya mataifa hayo mliyopita katikati yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muliona sanamu zao za kuchukiza, miungu ya miti na mawe, ya feza na zahabu.