Deuteronomy 29:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mliona sanamu zao za kuchukiza, miungu ya miti na mawe, ya fedha na dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mliona miongoni mwao machukizo yao, na sanamu za miti na mawe, za fedha na dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nanyi mliona machukizo yao, na sanamu zao, miti na mawe, fedha na dhahabu, zilizokuwako kwao;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mliona sanamu zao za kuchukiza, miungu ya miti na mawe, ya fedha na dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mliona miongoni mwao vinyago vyao vya kuchukiza na sanamu za miti na mawe, za fedha na dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mliona miongoni mwao vinyago vyao vya kuchukiza na sanamu za miti na mawe, za fedha na dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nanyi mliona machukizo yao, na sanamu zao, miti na mawe, fedha na dhahabu, zilizokuwako kwao;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mliona sanamu zao za kuchukiza, miungu ya miti na mawe, ya fedha na dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mkayaona matapisho yao na vinyago vyao, walivyokuwa navyo, vilivyo miti tu na mawe au fedha na dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nanyi mliona machukizo yao, na sanamu zao, miti na mawe, fedha na dhahabu, zilizokuwako kwao;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufanye angalisho kwamba hakuna mwanaume, mwanamuke, jamaa au kabila lolote linalosimama hapa leo litakalomwacha Yawe, Mungu wetu, kwenda kutumikia miungu ya mataifa mengine. Jambo hili litakuwa kama muzizi utakaoota na kuzaa matunda machungu yenye sumu.