Deuteronomy 29:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, mataifa yote yatasema: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameitendea hivyo nchi hii? Hasira hii kubwa inamaanisha nini?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Mwenyezi Mungu ameifanya hivi nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mataifa yote watasema, Mbona Bwana ameifanyia hivi nchi hii? Ni nini maana yake hari ya hasira hizi kubwa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, mataifa yote yatasema: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameitendea hivyo nchi hii? Hasira hii kubwa inamaanisha nini?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini BWANA amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mataifa yote watasema, Mbona BWANA ameifanyia hivi nchi hii? Ni nini maana yake joto la hasira hizi kubwa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, mataifa yote yatasema: ‘Kwa nini Mwenyezi-Mungu ameitendea hivyo nchi hii? Hasira hii kubwa inamaanisha nini?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakapoviona wamizimu wote watauliza: Bwana akiifanyizia nchi hii mambo kama haya, ni kwa sababu gani? Makali makuu yawakayo moto hivyo yako na maana gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mataifa yote watasema, Mbona BWANA ameifanyia hivi nchi hii? Ni nini maana yake hari ya hasira hizi kubwa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na jibu hili litatolewa: ‘Ni kwa sababu walivunja agano la Yawe, Mungu wa wazee wao ambalo alifanya nao alipowatoa katika inchi ya Misri.