Deuteronomy 29:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na jibu litatolewa: ‘Ni kwa sababu walivunja agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wao ambalo alifanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha agano la Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao, agano alilofanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watakaposema watu, Ni kwa kuwa waliacha agano la Bwana, Mungu wa baba zao, alilofanya nao hapo alipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na jibu litatolewa: ‘Ni kwa sababu walivunja agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wao ambalo alifanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha Agano la BWANA, Mungu wa baba zao, Agano alilofanya nao wakati alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha Agano la bwana, Mungu wa baba zao, Agano alilofanya nao wakati alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watakaposema watu, Ni kwa kuwa waliacha agano la BWANA, Mungu wa baba zao, alilofanya nao hapo alipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na jibu litatolewa: ‘Ni kwa sababu walivunja agano la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa wazee wao ambalo alifanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu watakapowaambia: Ni kwa kuwa waliliacha Agano la Bwana Mungu wa baba zao, alilolifanya nao alipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watakaposema watu, Ni kwa kuwa waliacha agano la BWANA, Mungu wa baba zao, alilofanya nao hapo alipowatoa katika nchi ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaenda kutumikia na kuabudu miungu mingine, ambayo hawakuijua mbele, wala Yawe hakukuwa amewapa.