Deuteronomy 29:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakaenda kuitumikia na kuiabudu miungu mingine, ambayo hawakuijua hapo awali, wala Mwenyezi-Mungu hakuwa amewapa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walienda zao na kuabudu miungu mingine na kuisujudia, miungu wasioijua, miungu ambayo Mungu hakuwapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaenda wakatumikia miungu mingine, wakaiabudu miungu wasiyoijua, asiyowapa yeye;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakaenda kuitumikia na kuiabudu miungu mingine, ambayo hawakuijua hapo awali, wala Mwenyezi-Mungu hakuwa amewapa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walienda zao na kuabudu miungu mingine na kuisujudia, miungu wasioijua, miungu ambayo Mungu hakuwapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walienda zao na kuabudu miungu mingine na kuisujudia, miungu wasioijua, miungu ambayo Mungu hakuwapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaenda wakatumikia miungu mingine, wakaiabudu miungu wasiyoijua, asiyowapa yeye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakaenda kuitumikia na kuiabudu miungu mingine, ambayo hawakuijua hapo awali, wala Mwenyezi-Mungu hakuwa amewapa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaenda zao, wakatumikia miungu mingine na kuitambikia, nayo ni miungu, wasiyoijua, isiyowagawia kitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaenda wakatumikia miungu mingine, wakaiabudu miungu wasiyoijua, asiyowapa yeye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo hasira ya Yawe ikawaka juu ya inchi hii, na kuiletea laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.