Deuteronomy 29:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka dhidi ya nchi hii, na kuiletea laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi ya nchi hii, hivyo Mungu akaleta juu yake laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo ikawashwa hasira ya Bwana juu ya nchi hii, kwa kuleta juu yake laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka dhidi ya nchi hii, na kuiletea laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo hasira ya BWANA ikawaka dhidi ya nchi hii, hivyo Mungu akaleta juu yake laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo hasira ya bwana ikawaka dhidi ya nchi hii, hivyo Mungu akaleta juu yake laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo ikawashwa hasira ya BWANA juu ya nchi hii, kwa kuleta juu yake laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo hasira ya Mwenyezi-Mungu iliwaka dhidi ya nchi hii, na kuiletea laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, makali ya Bwana yalipoiwakia nchi hii, akailetea viapizo vyote vilivyoandikwa humu kitabuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo ikawashwa hasira ya BWANA juu ya nchi hii, kwa kuleta juu yake laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yawe, akawaongoza kutoka katika inchi yao kwa hasira na kasirani kubwa, akawatupa katika inchi nyingine kama vile inavyokuwa leo’.