Deuteronomy 29:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mwenyezi-Mungu, akawangoa kutoka katika nchi yao kwa hasira na ghadhabu kubwa, akawatupa katika nchi nyingine kama ilivyo leo.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu Mwenyezi Mungu aliwang’oa kutoka nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akawang'oa katika nchi yao kwa hasira, na ghadhabu, na makamio makuu, akawatupa waende nchi nyingine, kama hivi leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mwenyezi-Mungu, akawang'oa kutoka katika nchi yao kwa hasira na ghadhabu kubwa, akawatupa katika nchi nyingine kama ilivyo leo.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu BWANA aliwang'oa kutoka katika nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu bwana aliwang’oa kutoka nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akawang'oa katika nchi yao kwa hasira, na ghadhabu, na makamio makuu, akawatupa waende nchi nyingine, kama hivi leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mwenyezi-Mungu, akawangoa kutoka katika nchi yao kwa hasira na ghadhabu kubwa, akawatupa katika nchi nyingine kama ilivyo leo.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akawang'oa katika nchi yao kwa makali yaliyowaka moto na kwa machafuko makubwa, akawatupa, wajiendee katika nchi nyingine, kama inavyoelekea leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akawang’oa katika nchi yao kwa hasira, na ghadhabu, na makamio makuu, akawatupa waende nchi nyingine, kama hivi leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mambo ya siri ni ya Yawe, Mungu wetu, lakini yale ambayo ameyafunua ni yetu na wazao wetu milele, kusudi tushike maneno yote ya sheria hii.”