Deuteronomy 29:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mliona maafa makubwa, ishara na maajabu aliyotenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mliona maafa makubwa, ishara na maajabu aliyotenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mliona maafa makubwa, ishara na maajabu aliyotenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yale majaribu makubwa macho yako yaliyaona kuwa vielekezo na vioja vikubwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yale majaribu makuu yaliyoyaona macho yako; hizo ishara, na ile miujiza mikuu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mpaka leo Yawe hajawapa ninyi akili ya kuelewa, macho ya kuona, wala masikio ya kusikia!