Deuteronomy 29:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mpaka leo Mwenyezi-Mungu hajawapa akili ya kuelewa, macho ya kuona, wala masikio ya kusikia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hadi leo Mwenyezi Mungu hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Bwana hakuwapa moyo wa kujua, wala macho ya kuona, wala masikio ya kusikia, hata leo hivi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mpaka leo Mwenyezi-Mungu hajawapa akili ya kuelewa, macho ya kuona, wala masikio ya kusikia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mpaka leo BWANA hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mpaka leo bwana hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini BWANA hakuwapa moyo wa kujua, wala macho ya kuona, wala masikio ya kusikia, hata leo hivi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mpaka leo Mwenyezi-Mungu hajawapa akili ya kuelewa, macho ya kuona, wala masikio ya kusikia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mpaka siku hii ya leo Bwana hajawapa ninyi mioyo inayovitambua, wala macho yanayoona, wala masikio yanayosikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini BWANA hakuwapa moyo wa kujua, wala macho ya kuona, wala masikio ya kusikia, hata leo hivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa muda wa miaka makumi ine, mimi niliwaongoza katika jangwa, nguo zenu mulizovaa hazikuchakaa wala viatu vyenu havikuchakaa kwenye miguu yenu.