Deuteronomy 29:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na mlipofika mahali hapa, mfalme Sihoni wa Heshboni na mfalme Ogu wa Bashani walikuja kupigana nasi; lakini tukawashinda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlipofika mahali hapa, Sihoni mfalme wa Heshboni na Ogu mfalme wa Bashani walikuja kupigana dhidi yetu, lakini tuliwashinda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mlipokuja mahali hapa, walitutokea kupigana juu yetu Sihoni mfalme wa Heshboni, na Ogu mfalme wa Bashani, tukawapiga;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na mlipofika mahali hapa, mfalme Sihoni wa Heshboni na mfalme Ogu wa Bashani walikuja kupigana nasi; lakini tukawashinda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mlipofika mahali hapa, Sihoni mfalme wa Heshboni na Ogu mfalme wa Bashani walikuja kupigana dhidi yetu, lakini tuliwashinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mlipofika mahali hapa, Sihoni mfalme wa Heshboni na Ogu mfalme wa Bashani walikuja kupigana dhidi yetu, lakini tuliwashinda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mlipokuja mahali hapa, walitutokea kupigana juu yetu Sihoni mfalme wa Heshboni, na Ogu mfalme wa Bashani, tukawapiga;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na mlipofika mahali hapa, mfalme Sihoni wa Heshboni na mfalme Ogu wa Bashani walikuja kupigana nasi; lakini tukawashinda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlipofika mahali hapa, Sihoni, mfalme wa Hesiboni, na Ogi, mfalme wa Basani, walitaka kupigana na sisi, nasi tukawapiga,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mlipokuja mahali hapa, walitutokea kupigana juu yetu Sihoni mfalme wa Heshboni, na Ogu mfalme wa Bashani, tukawapiga;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tukakamata inchi yao, tukayagawanyia makabila ya Rubeni na Gadi na nusu kabila la Manase ikuwe mali yao.