Deuteronomy 29:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tukaichukua nchi yao, tukayagawia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu kabila la Manase iwe mali yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuliichukua nchi yao na kuwapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kama urithi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tukaitwaa nchi yao, nayo tukawapa Wareubeni, na Wagadi, na nusu ya kabila ya Manase, iwe urithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tukaichukua nchi yao, tukayagawia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu kabila la Manase iwe mali yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuliichukua nchi yao na kuwapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kama urithi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuliichukua nchi yao na kuwapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kama urithi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tukaitwaa nchi yao, nayo tukawapa Wareubeni, na Wagadi, na nusu ya kabila la Manase, iwe urithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tukaichukua nchi yao, tukayagawia makabila ya Reubeni na Gadi na nusu kabila la Manase iwe mali yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tukazichukua nchi zao, tukawapa wao Warubeni na Wagadi nao wa nusu la shina la Manase, ziwe mafungu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tukaitwaa nchi yao, nayo tukawapa Wareubeni, na Wagadi, na nusu ya kabila ya Manase, iwe urithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mukuwe waangalifu kushika maneno yote ya agano hili kusudi mupate kufanikiwa katika kazi zenu zote.