Deuteronomy 29:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika maneno yote ya agano hili ili mpate kufanikiwa katika kazi zenu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zingatieni masharti ya agano hili, ili mweze kustawi katika kila kitu mnachofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shikeni basi maneno ya agano hili myafanye, ili mfanikiwe katika yote mfanyayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika maneno yote ya agano hili ili mpate kufanikiwa katika kazi zenu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fuateni kwa bidii masharti ya Agano hili, ili kwamba mweze kustawi katika kila kitu mnachofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fuateni kwa bidii masharti ya Agano hili, ili kwamba mweze kustawi katika kila kitu mnachofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shikeni basi maneno ya agano hili myafanye, ili mfanikiwe katika yote mfanyayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo muwe waangalifu kushika maneno yote ya agano hili ili mpate kufanikiwa katika kazi zenu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa yaangalieni maneno ya Agano hili na kuyafanya, mpate kufanikiwa mambo yote, mtakayoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shikeni basi maneno ya agano hili myafanye, ili mfanikiwe katika yote mfanyayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Leo, mumesimama mbele ya Yawe, Mungu wenu, ninyi wote viongozi wa makabila, wazee wenu, wakubwa wenu,